Burudani

Tunda Man awashauri wasanii wasiotaka kufunga ndoa

Tunda Man amewachana wasanii wanaoogopa kufunga ndoa kwa madai ya kushuka kimuziki.

c

Hitmaker huyo wa wimbo wa ‘Mama Kijacho’ alifanikiwa kufunga ndoa mkoani Morogoro wiki tatu zilizopita.

Muimbaji huyo wa Tip Top Connection, amekiambia kipindi cha E News cha East Africa TV kuwa wasanii wanaoongopa kufunga ndoa wakihofia kushuka kwa muziki, hawana hofu ya Mungu kwani kupanda na kushuka ni mipango ya Mungu na wapo kina Mr. Blue wamefunga ndoa na bado wanafanya vizuri kimuziki.

Wakati huo huo Tunda amewapongeza wasanii waliofunga ndoa hivi karibuni akiwemo Nyandu Tozi, Mwana Fa, Mabeste na wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents