Burudani

P-Square kupoteza mkataba na kampuni ya simu wa mabilioni kama wakitengana

Chanzo kilichopo karibu na kampuni ya simu ya Glo ya Nigeria imeliambia gazeti la Vanguard kuwa itasitisha mkataba na P-Square iliyoingia nao tangu mwaka 2010 kama wakitengana.

p-square na wake zao

Chanzo hicho kimesema mkataba wa kampuni hiyo ni wa P-Square na sio mmoja wa mapacha hao. Mashabiki wengi wanamlaumu mke wa Peter Okoye, Lola kuwa ndio chanzo cha ugomvi wa mapacha hao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents