![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2023/12/89CE3E25-FA88-4854-AC4B-2141E9DF4C1A.jpeg)
Kiungo wa Klabu ya Yanga SC Pacome Zouzoua anazidi kuwakosha mashabiki na wafatiliaji mbalimbali wa michezo ya Yanga, kwa sasa amekuwa yeye ndiye mchezaji anaevutia sana kumwangalia pindi ashikapo mpira anakuwa na maamuzi sahihi sana, Siku ya Jumamosi yeye ndiye aliyewabeba Wananchi baada ya kufungwa bao la jioni Pacome akaweza kuwatetea na kutafuta goli la kutoa hata sare kwenye Mchezo huo.
Pacome Zouzoua Roho ya Wananchi iliyopo sasa.