Burudani

Pam D aelezea ukaribu wake Nay wa Mitego

Pam D amefunguka kuhusiana na taarifa zilizokuwa zimeenea kwenye mitandao ya kijamii kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na Nay wa Mitego.

Pam D

Akiongea na Bongo5, Pam amesema:

Kwanza niwajulishe tu mashabiki wangu kuwa ukaribu wangu mimi na Nay wa Mitego ni washkaji na pia kuna kazi inakuja yangu na Nay ambayo nayo ndo ilikuwa inatuweka karibu. Hiyo kazi mpya inaitwa ‘Nipe Nono’ Producer Mr. T Touch na kazi inatoka wiki hii. Nadhani watu watakuwa hapo wameshapata jibu sasa la ukaribu wangu na Nay wa Mitego.”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents