Mahojiano
Peter Msechu: Sikuwahi kwenda trending tangu nianze muziki (+ Video)
Akiongea na bongofive msanii Peter Msechu amewashukuru Watanzania kw akuzipenda nyimbo zake mbili za maombolezo ya hayati Rais Magufuli na kueleza kuwa tangu aanze muziki 2009 hajawahi kuingia trending Youtube ila nyimbo hizi za maombolezo zimempeleka trending kwa mara ya kwanza.