Burudani

Pharrell Williams ajiunga na shindano la ‘The Voice US’

2013 na 2014 ni miaka ya ‘furaha’ kwa Pharrell Williams. Hitmaker huyo wa The Neptunes amekula shavu la kusainishwa kama kocha wa shindano la ‘The Voice’.

5_25_10_PharrellWilliams49515

Muimbaji huyo mwenye miaka 40 atakijaza kimoja ya viti vyekundu vya shindano hilo la kuimba katika msimu wa saba. Williams anayeendelea kuhit na wimbo wake ‘Happy’ anaziba nafasi ya CeeLo Green, aliyeondoka baada ya kuwepo kwa misimu minne.

Makocha wengine watatu wa shindano bado hawajatangazwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents