Burudani

Picha 10 za utengenezaji wa video ya Feza Kessy ‘My papa’, Afrika Kusini

Aliyekuwa mshiriki wa Tanzania katika shindano la Big Brother mwaka jana, Feza Kessy ameshoot video ya wimbo wake mpya ‘My Papa’ aliouachia radioni mwezi April mwaka huu.

20140609_131222

Video hiyo inayotarajiwa kutoka 08.08.2014 imeshutiwa nchini Afrika Kusini na director aitwaye Kyle White.

f1

Models watakaoonekana kwenye video hiyo ni pamoja na Mtanzania aitwaye Daxx, Tandi wa Afrika Kusini na mshiriki mwingine wa Big Brother Lexi.

IMG-20140610-WA0019

IMG-20140610-WA0030

20140609_133923

1402559143932

f2

IMG-20140610-WA0005

IMG-20140610-WA0015

IMG-20140610-WA0018

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents