Habari
Picha 13 za West Gate Mall Nairobi kabla ya shambulio la kigaidi na kuharibiwa
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2013/09/w4.jpg)
Ni dhahiri kuwa tukio la mashambulizi ya West gate mall jijini Nairobi limeleta hasara kubwa kwa kupoteza maisha ya watu wengi raia wa Kenya pamoja na mataifa mengine. Katika taarifa ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta jana (September 24) alisema kuwa ghorofa tatu za jengo hilo ziliporomoka wakati ya operesheni ya kuwashinda magaidi waliuokuwa wamejificha katika jengo hilo linalomilikiwa na WaIsrael.
Tazama picha za Jengo hilo kabla halijavamiwa na kushambuliwa na kuharibiwa vibaya.
PHOTOS: Nairobi Wire