Burudani

Picha: Beyonce aweka historia hii mpya

Beyonce ameweka historia nyingine ya kuwa mwanamuziki wa kwanza wa Marekani mwenye asili ya Afrika kuwahi kukava jarida la September la Vogue.

vogue-sept-beyonce

Jarida la September ni kubwa na huw ana heshima zaidi.

beyonce-vogue-sept-1

Hiyo ni mara ya tatu kwa mwanamke mwenye asili ya Afrika kuwahi kukava jarida hilo. Wengine ni wa supermodel Naomi Campbell na muigizaji Halle Berry.

beyonce-september-cover-2015-03

Hiyo inakuwa mara ya tatu pia kwa mwanamuziki huyo kukava jarida la Vogue la Marekani.

beyonce-september-cover-2015-02

beyonce-september-cover-2015-04

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents