Burudani

Tid na Q Chillah wamaliza tofauti zao, waahidi kuja na album ya pamoja

Habari njema kwa mashabiki wa muziki Tanzania ni kuwa hatimaye wanamuziki nguli wa Bongo fleva, Aboubakar Shaaban Katwila a.k.a Q-Chillah na Khalid Mohamed a.k.a Tid Mnyama wamemaliza tofauti zao zilizodumu kwa muda mrefu.

t n q
Tid na Q Chief walipokuwa kwenye kipindi cha XXL

Wasanii hao ambao waliwahi kufanya kazi pamoja katika Top Band ya Tid kabla ya Chillah kujitoa, walithibitisha kumaliza tofauti zao kupitia kipindi cha XXL cha August 14, 2015 chini ya mtangazaji Hamis Mandi a.k.a B Dozen.

Kama sehemu ya mapatano hayo, Tid na Q Chief wameahidi kufanya album ya pamoja ambayo itaandaliwa na producer Tudd Thomas.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents