Habari

Picha: IGP Sirro awasili Njombe kwa ziara ya kikazi

IGP, Simoni Sirro amewasili Njombe kwa ziara ya kikazi ambapo atazungumza na maafisa na askari wa Jeshi hilo kuona changamoto wanazo kumbana nazo wanapo tekeleza majukumu yao na namna ya kuwasaidia.
.


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiwasili uwanja wandege wa Njombe, kwa ziara ya kikazi ya siku moja akitokea mkoani Ruvuma.

Picha na Jeshi la Polisi

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents