Picha: Jinsi Serengeti Fiesta 2013 ilivyokuwa Singida jana usiku
Jana ilikuwa zamu ya wakazi wa Singida kupata mzuka wa Serengeti Fiesta 2013 kutoka kwa wasanii kibao. Show ilifanyika kwenye ukumbi wa Singida Motel kuanzia saa 2 usiku.
Shangwe hizo zilianza kwa burudani mbalimbali kutoka kwa Serengeti Super Nyota na baada ya hapo wakazi hao wa Singida walipata burudani kutoka kwa zaidi ya wasanii 20 hadi saa 9 usiku show ilipomalizika.
Linah akiwaonesha wakazi wa Singida ‘asset’ aliyoipata kutoka kwa mama yake
Madee akiimba na mashabiki wimbo wa Sio Mimi aka Pombe Yangu
Makomando wakicheza style yao mpya ya Kibaba baba
Makomando katika pozi kabla ya kupanda jukwaani
Adam Mchomvu alipata nafasi ya kuimba pia na mashabiki
Nay Wa Maitego akiwapa mambo wapenzi wa burudani wa Singida
Nay wa Mitego akiwasikilizia mashabiki
Recho akicheza na Msami
Stamina na Young Killer wakitumbuiza wimbo wao wa pamoja Jana na Leo
Singida Motel palikuwa hapatoshi
Singida Motel palifunga haswaaa
Shilole akiwa na hisia kali jukwaani, mhhh!
Ommy Dimpoz aka Mzee wa Tupogo
Ommy Dimpoz akiimba na shabiki
Mabaga Fresh nao walipata shavu
Mwamba wa Kaskazini, Joh Makini
Wakazi wa Singida wakifurahia show