Picha
Picha: Jinsi Willow na Jaden Smith walivyokuwa wakubwa
Watoto wa muigizaji Will Smith, Jaden na Willow walikuwa miongoni mwa mastaa waliohudhuria orange na purple carpet ya tuzo za 26 za Nickelodeon, Choice Awards weekend hii. Tazama picha zao zaidi.