Burudani

Picha: Jordin Sparks na mumuwe wanavyokula raha msimu huu wa Valentine

Penzi ni kikohozi na kulificha haiwezekani, Mwanamuziki Jordin Sparks ameonekana akiwa mtu mwenye furaha akiwa na mumuwe Dana Isaiah ambaye ni mwanamitindo.

Wawili hao wameonekana wakifurahia mahaba yao katika fukwe za Grand Fiesta Americana Coral Beach maeneo ya Cancun,nchini Mexico wiki hii ya Valentine.

Kwa muijbu wa mtandao wa People wawili hao walifunga ndoa mwaka jana, Hawaii na wanatarajia kupata mtoto wa kiume ambayeni wa kwanza mwishoni mwa mwezi wanne.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents