Burudani
Chid Benz aingia Jukwaani na Yebo na kushushwa (Video)
Tazama msanii wa Bongofleva Chid Benz alivyopanda kwa kushtukiza kufuatia Dj kupiga wimbo wake wa Dar es salaam Stand Up Viwanja vya Posta show kubwa ya Best Vibes
Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5
Written and edited by @abbrah255 & @Johnbosco_mbanga
Imeandikwa na Mbanga B.