Burudani

Picha: Kala Jeremiah kumuonesha ‘Malkia’ wake Ijumaa hii

Ni muda mrefu mashabiki wa Kala Jeremiah wamekuwa wakisubiri kwa hamu siku ambayo rapa huyo wa Rock City atamuweka hadharani ‘Malkia’ wake, baada ya kutoa ahadi ya kufanya hivyo kabla ya mwaka 2015 haujaisha.

Kala1

‘Malkia’ ndio jina la wimbo mpya wa Kala ambao anatarajia kuuzindua pamoja na video yake Ijumaa hii (Dec.11) pale Club Billz akisindikizwa Na Roma, Izzo Bizness, Malaika na Dayna Nyange.

kala2

Hivi karibuni Kala aliiambia Bongo 5 kuwa video ya wimbo huo imeongozwa na director Pablo aliyefanya naye video zilizopita.

kala3

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents