Rita Ora alionekana kuwa kivutio kikubwa kwenye Red Carpet ya Met Gala iliyofanyika jana kwenye jiji la New York, Marekani.
Mastaa kibao walihudhuria kwenye onesho hilo wakiwemo Kanye West, Kim Kardashian, Tyga, Nick Minaj, Beyonce, Rita Ora na wengine. Rita Ora alionekana kuwavutia watu wengi na kumuangalia muda wote kutokana na kivazi alichokuwa amekivaa.
Hizi ni baadhi ya picha za Rita Ora alivyotokelezea na kivazi chake.