Habari

Picha: Makamu wa Rais azindua ukuta wa bahari katika barabara ya Barack Obama

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amezindua Ukuta wa Bahari katika barabara ya Barack Obama wenye urefu wa mita 920 ambao umejengwa chini ya ufadhili wa Mfuko wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabia Nchi wa Dunia.

Tazama Picha zaidi:

Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents