Burudani

Picha: Mfahamu mtoto wa Rambo ‘Sistine Stallone’ ni mrembo hatari!

Sistine Stallone mwenye miaka ’18’ ni mwanamitindo na mtoto wa muigizaji mkongwe, Sylvester Stallone ‘Rambo.’

r7

Binti huyo alikuwa miongoni mwa mastaa waliopendeza zaidi na kuwa kivutio zaidi kwenye red carpet ya tamasha la filamu la 73 la Venice. Sistine alikuwa katika uzinduzi wa filamu ya kijeshi ya Hacksaw Ridge. Hizi ni baadhi ya picha za binti huyo.

r8
Sistine akiwa kwenye redcarpet ya Venice Film Festival

r1

r6

r4

r2 (1)

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents