Burudani

Picha: Mrembo huyu ana hips kubwa na umbo la kuvutia kuliko wote Kenya?

Ana umbo namba nane anawachanganya… Ama kama alivyosema Diamond kwenye Zigo Remix – Usiombe akapita na khanga, nyuma figusu majanga, ana mwendo wa kung’onya, tena alivyoshona, umbo kama katuni wa kuchora – Ni Grace Sowairina Msalame.

12424388_1582691198721891_2024335451_n

Msichana huyu mrembo na mama wa watoto wawili wa kike mapacha, ana umbo ambalo sio rahisi kwa mwanaume yeyote kujizuia kuacha kumwangalia.

1168366_1662469884011093_2004199405_n

Mrembo huyu alijipatia umaarufu kwenye utangazaji wa TV na aliwahi kuwa na cheo kikubwa kwenye kituo cha runinga cha Kiss TV. Tazama picha zake hapo chini.

1725400_1048210441913050_597079969_n

12552234_480835728771985_358989550_n

917044_159163377783776_1041571638_n

12558518_1524970351132389_580583679_n

12628100_182907515400579_1772946701_n

12747786_553003218210569_653296301_n

BLACK9

Blue-body-con

Blue-body-con-2

BlueBodycon-3-1

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents