Burudani

Picha: Mtoko wa kizamani kwenye party ya meneja wa Diamond

Jana ilikuwa birth day ya meneja wa Diamond Platnumz, Sallam, sasa Crew ya WCB katika sherehe ya kiongozi huyo wakaamua kutupia  kwa style fulani hivi ya kizamani. Tumekusongezea hizi picha, kisha tuambia nani katisha kati yao.

Diamond Platnumz
Maromboso
Rich Mavoko
Kifesi

Babu Tale
Lydia
Lukambo na Rayvanny

 

Ricardomomo na Babu Tale
Producer Lizer

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents