Burudani

Picha: Muonekano wa Lupita Nyong’o katika jarida la fashion la Italia ‘Vogue Italia’

Mwigizaji wa kike kutoka Kenya Lupita Nyong’o ambaye amejichukulia umaarufu kwa muda mfupi Hollywood na duniani kwa ujumla kupitia filamu ya ’12 Years a Slave’, ameendelea kupata mashavu ya Interviews na kutokea katika majarida mbalimbali duniani.

lupita-6

Lupita amepata nafasi ya kutokea katika majarida ya fashion likiwemo toleo ya mwezi huu (February) la jarida la ‘Vogue Italia’ la Italia.

Hizi ni baadhi ya picha zinazoonesha upande wake wa pili hasa katika upande wa fashion.

lupita-3

lupita-7

lupita-4

lupita-8

lupita-1

lupita-2

lupita-5


Photo Credits:

Photography: Tom Munroe
Styling: Patti Wilson

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents