Burudani

Picha: Muonekano wa Willow Smith mwaka 2018 sio mchezo

Willow Smith ameonekana kukuwa kwa haraka kila kukicha. Mtoto huyo wa mchekeshaji maarufu duniani Will Smith na mkewe Jada Smith mwenye umri wa miaka 17 ameonekana kuwa mrembo zaidi kutokana na picha ambazo ameziweka kwenye mtandao wake wa Instagram.

Willow ambaye pia ni msanii wa muziki ameweka picha zake mbili mpya kwenye mtandao huo ambapo ni mara ya kwanza ameonyesha picha zake mitandaoni kwa mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents