Burudani

Picha: Nicki Minaj atupa ‘mawig’ yake na kubaki na nywele asili, utampenda

Tangu aanze muziki, Nicki Minaj anafahamika kwa mawig yake ya rangi rangi ya kila aina. Hata hivyo, Nick anataka kuwaonesha watu kuwa hata kama akibaki na nywele zake, bado ataonekana mrembo tu. Rapper huyo wa YMCMB, ametumia mtandao wa Instagram kuonesha picha za muonekano wake mpya wakati akipiga picha za matumizi maalum. Tazama picha hizo.

31be349c8f6b11e3a51e1238402b7216_8

f0ea5f7a8f6c11e393e3122a6eaa0995_8

5a14c8b08f7111e3bf47122036478823_8

5c81c9208f6e11e3ba74128f0696eb74_8

6909a0808f6b11e3bda50eb0af251531_8

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents