Burudani

Picha: Nyumba ya Eddy Kenzo wa Uganda ‘kufuru’

Wasanii wa Uganda wanafahamika kwa utajiri mkubwa walionao ambao mara nyingi hupatikana kwa show za ndani zisizokauka.

13736830_1323453414346687_89128804_n

Eddy Kenzo si msanii wa siku nyingi nchini humo lakini amefanikiwa si tu kuwa na mafanikio makubwa kuzidi wakongwe ikiwemo kushinda tuzo ya BET, bali pia kujikusanyia utajiri mkubwa.

Kupitia Instagram, staa huyo ameuonesha mjengo wake wa kifahari wa Kampala na kuwaacha mashabiki wakiwa mdomo wazi.

14033060_686096401538612_1815838956_n

“Sunday well spent @home????,” aliandika Kenzo.

Pia ameshare picha za ndinga yake, Range Rover.

13628414_1189662124418365_2056469807_n

“God above everything. Autobiography hmmmm. ALHAMDLILAH,” ameandika kwenye picha hiyo juu.

14031733_1069569329763089_1904516409_n

“Ya Allah! Keep reminding me that the blessings in my life are due to your Mercy & not my actions. When I get proud, give me a wake up call. Good morning my lovely people may God bless you all ????????????,” ameandika kwenye picha nyingine.

Muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Edrisa Musuuza, alianza kujipatia umaarufu mwaka 2014 kwa wimbo wake Sitya Loss.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents