Habari
Picha: Spika Ndugai afungua semina APNAC
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai amefungua semina kuhusu maadili na mapambano dhidi rushwa kwa Wanachama wa Chama cha Mtandao wa Wabunge Wanaopambana na Rushwa Tanzania (APNAC), leo mjini Dodoma.
Picha Zote na Ofisi ya Bunge.