Picha
Picha: Utengenezaji wa video ya wimbo wa Amini na Barnaba ‘Why Mimi’
Amini na Barnaba ambao wanaunda kundi la Gemini, wameshooot video ya wimbo wao, Why Mimi. Video imefanywa na kampuni ya Redline Production. Tazama baadhi ya picha za shooting ya video hiyo.
Linah alikuwepo kuwapa sapoti Amini na Barnaba
Amini akimfanyia makeup Barnaba
Barnaba akimfanyia make-up Amini
Barnaba,Robby,Ditty,Amini,Petit
Hao ndo ma Model wa kwenye Video ambao watatokea