Michezo

Picha/Video: Mazoezi ya mwisho ya Everton kabla ya kuwavaa Gor Mahia

Baada ya kusuburia kwa muda mrefu hatimaye Alhamisi hii majira ya saa sita jioni tutawashuhudia Everton live jijini Dar es salaam wakimvaa mshindi wa SportPesa Super Cup 2017, Gor Mahia ya nchini Kenya.

Rooney na Morgan

Mchezo huo unatarajiwa kuwa na msisimko mkubwa kutokana wachezaji machachari wa klabu hiyo akiwemo Rooney jana kuonekana live wakipasha kabla ya mechi yao hiyo ya kirafiki. Angalia picha za mazoezi yao ya mwisho  Uwanja wa Taifa.

https://www.instagram.com/p/BWc3IPuhE3g/?taken-by=bongofive

 

https://www.instagram.com/p/BWc1wQ6BNZX/?taken-by=bongofive

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents