BurudaniFahamuHabari

Platnumz, Rayvanny vinara Youtube barani Afrika

Ukija kwa upande wa muziki Afrika utataja mataifa yote yanayofanya vizuri kwenye muziki ila usipoitaja Tanzania utakuwa bado hujataja mataifa yanayofanya vizuri kimuziki katika bara la Afrika.

Taifa namba moja kimuziki kama Nigeria wameongeza karibia katika kila kitu kasoro kwenye wasanii walioshinda Grammy nyingi ambao ni kutoka Afrika Kusini.

Katika eneo lingine ambapo Nigeria wamepitwa ni wasanii wanaoongoza kwa kuwa na Wafuasi (Sibscriber) wengi kwenye mtandao wa YouTube kusini mwa Jangwa la Sahara.

Katika orodha hiyo Tanzania ndio Kinara kwa kutoa maanii namba moja na namba mbili ambao ni Platnumz na Rayvanny.

Katika wasanii 10 Kusini mwa Jangwa la Sahara Tanzania imetoa wasanii wanne.

Soma Orodha hii.

1. Diamond Platnumz 🇹🇿 – 8.7 million

2. Rayvanny 🇹🇿 – 4.92M

3. Burna Boy 🇳🇬 – 4.69M

4. Harmonize 🇹🇿 – 4.43M

5. Rema 🇳🇬 – 4.03M

6. CKay 🇳🇬 – 3.95M

7. Davido 🇳🇬 – 3.9M

8. Flavour 🇳🇬 – 3.24M

9. Zuchu 🇹🇿 – 3.19M

10. Wizkid 🇳🇬 – 3M.

Hili ndio eneo ambao Wasanii wa Nigeria wanapambana vya kutosha lakini wapi.

Msanii gani hukutegemea kumuona kwenye Orodha??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents