Habari
Rais Magufuli atoa agizo zito kwa vilabu vya soka na TFF (Video)
Rais John Pombe Magufuli aliipongeza Simba kwa kutwaa ubingwa huku akiwataka wekundu hao kuongeza juhudi katika michezo ijayo kwani mchezo waliouonyesha mbele ya Kagera Sugar hauwezi kuwafikisha sehemu yoyote. Pia amezitaka klabu nyingine pamoja na timu ya taifa kuongeza bidii ili walete vikombe nyumbani.