Michezo

Shabiki wa Simba apoteza fahamu kisa bao la Kagera Sugar (Video)

Shabiki mmoja wa Simba ambaye jina lake halikutambulika mara moja alipoteza fahamu muda mchache baada ya Kagera Sugar kupata bao lililoifanya timu hiyo kuondoka na pointi tatu. Wakundu hao wa msimbazi ndio mechi yao ya kwanza wanafungwa ndani ya msimu huu ambao wamechukua ubingwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents