HabariSiasa

Rais Samia aruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya Siasa

“Uwepo wangu mbele yenu ni kuja kutoa ruhusa kwamba lile tangazo la kuzuia mikutano ya hadhara sasa linaondoshwa, “Wanasema ni haki kwa vyama vya siasa kuendesha mikutano yao ya hadhara lakini ndugu zangu tuna wajibu.

Wajibu wetu ni kuwalinda mfanye mikutano yenu kwa salama. Wajibu wenu vyama vya siasa ni kufuata sheria na kanuni zinavyosema.” – Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents