Mabingwa wa Kihistoria @yangasc imeanza usajili kibabe kwa kumsajili Kiungo Mkabaji @mudathir_yahya27
Mchezaji huyo wa zamani wa Klabu ya Azam FC aliyehusishwa pia na @simbasctanzania ameingia kandarasi ya miaka miwili ndani ya timu ya Wananchi.
Credit by @fumo255