HabariMichezo

Sina matokeo mengine zaidi ya ushindi kwangu- Robertinho

”Nikiwa Rayon Sports kwa mara ya kwanza iliandika Historia kama klabu na nchi kumaliza hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.”-Kocha mpya wa Simba SC, Mbrazil Roberto Oliviera ‘Robertinho’

‘Robertinho’ ameongeza ”Baada ya hapo nikahamia Vipers SC nako ikawa hivyo hivyo ikafuzu hatua makundi. Kwa sasa ni Simba SC, unajua kwa nini klabu nyingi zinanihitaji ?,”

”Kwa sababu akilini mwangu sina matokeo mengine zaidi ya ushindi.”- Kocha mpya wa Simba SC, Mbrazil Roberto Oliviera ‘Robertinho’

Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents