Habari

Rais Samia awatakia heri darasa la saba 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kupitia ukurasa wake wa Twitter amewatakia heri wanafunzi wote wanaoanza mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi hii leo Oktoba 5, 2022.

”Nawatakia kila la kheri wanangu wote mnaoanza mtihani wa darasa la saba leo. Mwenyezi Mungu awape utulivu na siha njema ili mfanye vizuri mitihani yenu. Serikali itahakikisha maandalizi ya miundombinu ya kuwapokea wote watakaoendelea na kidato cha kwanza mwakani 2023 inakamilika.”- Rais Samia Suluhu Hassan

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents