Siasa

Rais Samia miongoni mwa viongozi 100 wenye ushawishi duniani

Jarida Maarufu Dunia la TIME limemtaja Rais Samia Suluhu Hassan kuwa miongoni mwa Viongozi 100 wenye ushawishi mkubwa Duniani.

Katika Jarida hilo aliyekuwa Rais wa Kwanza Mwanamke nchini Liberia Bi. Ellen Johnson Sirleaf amemuelezea Rais Samia kama mwanamageuzi anayependa demokrasia na maono ya mbali kwa Taifa lake na Afrika kwa ujumla.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents