Rais Samia Suluhu: Tukikuta bango moja aidha Mkurugenzi au Mkuu wa Wilaya umekwenda (+ Video)

“Tumezoea tunapokwenda mikoani kwenye ziara tunapokelewa na mabango ya wananchi yenye ujumbe mbalimbali na zile kero sio lazima zishughulikiwe na ngazi za juu ni masuala ya kushughulikiwa huko chini nawaomba tunapokuja kuja huko mimi, makamu wa Rais na Waziri Mkuu tukutane na jambo kubwa sana, na hii haina maana mkazuie watu wasiandike kero zao, naomba kero za wananchi zikashughulikiwe, na tukikuta mmewafinya wananchi wasiseme, tutashughulikia” Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania.

“Nataka niseme tukikuta bango moja aidha Mkurugenzi au Mkuu wa Wilaya umekwenda na hii haina maana mkazuie Watu kuandika kero zao, kero za Wananchi mkashughulikie na tukikuta malalamiko kwamba mnawafinya wasiseme hivyohivyo tutawashughulikia” – Rais Samia Suluhu Hassan.

Related Articles

Back to top button