Kupitia Insta Story ya @anerlisa ame-share chat yake na mwanasheria wake akimtaarifu kuwa tayari rasmi talaka imetolewa ya kuvunja ndoa yao.
@anerlisa ameonyesha kufurahi baada ya taarifa hii.(swipe) kusoma ujumbe wa @anerlisa
Kwa upande wa @iambenpol hakuna taarifa yoyote aliyoitoa kuhusu ujumbe huu wa @anerlisa