Bongo5 ExclusivesDiamond PlatnumzHabari

Rasmi Diamond ameanza kupoteza ufalme wake Youtube mbele ya Burna boy

Kupitia kipindi cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia kuhusu staa wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kupitwa Viewers Youtube na msanii wa Nigeria Bura Boy.

@el_mando_tz anasema kabla ya kujiuliza kwanini Diamond amepitwa na Burna boy kwanza tumpongeze kwa kuwa Mtanzania wa kwanza kuongozwa kwa Viewers nan Subscriber katika mtandao wa Youtube kutoka Kusii mwa Jangwa la Sahara.

Wasanii ni wengi sana lakini kwanini Diamond aliongoza?? maana yake kuna kitu cha tofauti alikuwa nacho.

Pili tujiulize kwanini Diamond amepitwa na Burna boy haliyakuwa yeye alifungua akaunti 2011 na Burna boy 2028??

Msikilize @el_mando_tz kwa makini halafu toa comment yako hapo chini.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents