Burudani

Ray C amtembelea rapper Ibra Da Huster aliyepo rehab Kigamboni

Rehema Chalamila aka Ray C amemtembelea rapper wa zamani wa kundi la Nako 2 Nako, Ibra Da Hustler kwenye kituo cha waliathirika wa madawa ya kulevya cha Sober House kilichopo maeneo ya Kigamboni jijini Dar es Salaam

k

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Ray C ameandika:

Ray C Foundation ilitembelea taasisi ya Sober House Kigamboni ambayo inawasaidia waathirika wa madawa ya kulevya kuacha madawa na tabia zote hatarishi!!Tuliwatembelea na tulijifunza mengi na kubadilishana mawazo na ndio maana tunasema tukishikiriana kwa pamoja kupiga vita madawa ya kulevya basi tutapunguza kasi ama kutokomeza kabisa janga hili.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents