Burudani
RayVanny amtaka Marioo kuongea ukweli kama hakumuomba Simba kusainiwa WCB (Video)
Usiku wa @marioo_tz utakumbukwa kwa kuwa na burudani nyingi za matukio ya kila aina.
Msanii @rayvanny ni mmoja kati ya wasanii ambao walipanda kwenye jukwaa hilo na kufanya show ya nguvu lakini moja tukio ambalo lilipigiwa kelele ni la msanii huyo kumtaka Marioo kutamka kama hakumuomba kusainiwa WCB.
Kauli hiyo iliufanya ukumbi huo ambao ulijaa maelfu ya watu kuzizima kwa shangwe.