Awards

Rayvanny msanii pekee kutoka Afrika aliyetumbuiza tuzo za MTV EMA 2021

Tukio lililokuwa linasubiriwa na wengi ni hili la kumuona @rayvanny akipanda kwenye jukwaa la MTV EMA kwa mara ya kwanza lakini pia akiliwakilisha bara la Afrika na taifa lake la Tanzania.

Show bora kabisa ambayo imefanyika usiku wa leo nchini Hungary.

Bofya hapa chini kutazama.

 

https://www.instagram.com/p/CWRZ4HgDAuY/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents