Burudani

Rihanna kukava jarida la Elle na kuzindua bidhaa za urembo

Katika kusherekea ulimwengu wa mitindo na burudani, mwanadada Rihanna anatarajiwa kukava katika jarida la Elle ifikapo mwezi Oktaba mwaka huu.

Kwa mujibu wa jarida hilo, mrembo huyo ataonekana akiwa amepaka bidhaa zake za urembo za FentyBeauty ambazo zinazinduliwa rasmi siku hiyo. Hii ni mara nyingine mrembo huyo kukava jarida hilo.

Elle wamewaalika mastaa kama vile Tyra Banks, Eminem, April Bloomfield, Zac Posen, Pharrell Williams na wengineo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents