Burudani

Robin Thicke na April Love Geary wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza

Msanii na mtayarishaji wa muziki kutoka Marekani, Robin Thicke na mchumba wake wa muda mrefu April Love Geary wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.

Love Geary ambaye pia ni mwanamitindo amethibitisha hilo kupitia mtandao wake wa Instagram kwa kuweka picha ya Utra Sound ikionyesha ujauzito huo. “Robin and I are very excited to share with you all that we’re having a baby! The due date is March 1st, Alan’s birthday! ❤️,” ameandika kwenye mtandao huo.

“Happy in Hawaii with my lil peanut ?,” ameongeza kwenye picha hiyo hapo chini aliyoiweka Instagram.

Hata hivyo Thicke tayari ana mtoto mwenye umri wa miaka saba, Julian Fuego ambaye alizaa na ex wake Patton.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents