HabariMichezo

Ronaldo amfuata Guardiola kuichukua Brazil

Pep Guardiola amekataa ofa ya kuwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Brazil kwaajili ya michuano ya Kombe la Dunia 2026.

Ripoti zinadai kuwa Legend wa Brazil, Ronaldo amefanya mazungumzo na wakala wa Guardiola, Pere kwaajili kuchukua nafasi hiyo lakini amekataa.

Guardiola (51) amekuwa na mafanikio makubwa kwenye klabu alizofundisha huko Hispania,  Ujerumani na sasa England.

Kandarasi mpya  ya Guardiola na Man City ni  ya miaka miwili ambapo itafikia tamati 2024.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents