Burudani

Sauti za Busara ni burudani na utamaduni (+Video)

Kuelekea katika Tamasha kubwa la Muziki Afrika la Sauti za Busara ifikapo mwezi wa pili tarehe 8 hadi 11 mwaka huu kisiwani Zanzibar, Watanzania wanatakiwa kuelewa kuwa Tamasha hilo ni kama utamaduni wetu kwani linaunganisha mataifa mbalimbali kuweza kujfunza na kubadilishana uwezo.


Katika mkutano aliyofanya na Waandishi wa habari, Mjumbe bodi wa  Tamasha hilo Simai Saidi  amewataka wafanyabiashara kutumia brand ya Sauti za Busara kunufaika zaidi

“Sisi wa Tanzania ni wanyenyekevu nawaomba wafanyabashara waitumie Brand ya Sauti za Busara ili waweze kunufaika kwani bado kuna fursa katika Tamsha hilo,” amesema Simai.

Baadhi ya wasanii watakaopata nafasi ya kutumbuiza kwa upande wa Tanzania ni Msafiri Zawose, Jagwa Music, Leo Mkanyia, Tausi Women’s Taarab na Maulidi ya Homu ya Mtendeni

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents