
Mchezaji wa Klabu ya Simba, Pape Ousmane Sakho ni miongoni mwa nyota 24 waliyotajwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Senegal kinachojiandaa dhidi ya Msumbiji, Machi 24, 2023 hatua ya makundi ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika.
Imeandikwa na @fumo255