Habari

Serikali yalichimba mkwara mzito gazeti la Mtanzania

Kaimu Msajili wa Magazeti, Patrick Kipangula ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kutoa onyo kali kwa gazeti la Mtanzania baada ya siku za hivi karibuni kuandika habari zilizomhusu rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete.

20160928_044555

Magazeti hayo yalibeba vichwa ‘Safari ya JK yazuiwa uwanja wa ndege ‘ na ‘Ukweli wa safari ya JK Uarabuni.’ Taarifa hiyo inadai kuwa huo ni udhalishaji kwa rais huyo mstaafu.

Hii ni taarifa yake:

1-e303a58c1a-1

Magazeti yenye nukuu hizo yalitolewa Novemba 20 mwaka 2016 na tarehe 22 Novemba mwaka huu.

BY: EMMY MWAIPOPO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents