Bongo5 ExclusivesHabariMichezo
Shaffih Dauda atoboa siri Chasambi kukataa dili la Ulaya na kukimbilia Simba
Mchambuzi wa Masuala ya Soka kutoka Clouds Media @Shaffihdauda akizungumza na Bongo5 ametoa Exclusive kuhusu dili la kiungo mpya wa Simba SC Ladaki Chasambi alivyokataa dili la kwenda ulaya klabu ya RB Salzburg ya Austria na Shafih Dauda kuweka wazi amesikitishwa sana la Ladaki kuacha dili Hilo na kujiunga Wekundu wa Msimbazi Simba.