HabariMichezo

Sadio Mane afunga ndoa kabla ya kuelekea AFCON

Mshambuliaji wa klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia na timu ya taifa ya Senegal Sadio Mane alifunga ndoa siku kadhaa kabla ya kuelekea kwenye michuano ya AFCON nchini Ivory Coast.

Mshambuliaji huyo na kapteni ya Senegal amefunga ndoa na mpenzi/mchumba wake wa siku nyingi anayeitwa Aisha Tamba.

Mane ataiongoza timu yake kwenye michuano hiyo wakiwa kundi moja na Cameroon, Gambia na Guinea.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents